• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi ampongeza Barham Salih kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Iraq

    (GMT+08:00) 2018-10-09 20:35:37

    Rais Xi Jinping amempongeza Barham Salih kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Iraq.

    Rais Xi amesema, China na Iraq ni marafiki wenye historia ndefu, na katika miaka ya hivi karibuni, maelewano ya kisiasa kati ya nchi hizo mbili yanaendelea kuimarishwa, ushirikiano wenye ufanisi umeendelezwa kwa kasi, na mawasiliano ya utamaduni yamezidishwa. Amesema anatumai kuwa chini ya ugongozi wa rais Salih, mchakato wa umoja wa kisiasa na ujenzi mpya wa uchumi wa Iraq utahimizwa, na kuendelea kupata mafanikio makubwa zaidi katika kutafuta njia ya kujiendeleza inayofaa hali ya taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako