Katika taarifa ya pamoja ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wasichana, ambayo inaangukia tarehe 11, Oktoba, wataalamu wamesema mtazamo sugu na upendeleo wenye athari mbali vinavyohusiana na umri na jinsia mara kwa mara vinakwamisha maendeleo ya wasichana na kuwaweka mahali penye hatari, kwa hivyo ni lazima hatua zichukuliwe ili kulinda haki zao za kibinadamu na kuwawezesha washiriki kikamilifu katika mambo mbalimbali ya kijamii.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |