• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakimbizi laki moja wa Syria nchini Lebanon kurudi nyumbani mwishoni mwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-10-10 08:53:21

    Mkuu wa usalama wa jumla wa Lebanon Bw. Abbas Ibrahim amesema wakimbizi laki moja wa Syria wanatarajiwa kurudi nyumbani kabla ya mwishoni mwa mwaka huu. Amesema mamlaka za usalama zinashirikiana na Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuhakikisha wakimbizi hao wanarudi nyumbani salama na kwa hiari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako