• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kufanya ziara Tajikistan, Uholanzi na Ubelgiji

    (GMT+08:00) 2018-10-10 09:02:55

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa 17 wa Baraza la viongozi wa serikali la Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai SCO mjini Dushanbe nchini Tajikistan, na kufanya ziara rasmi nchini Tajikistan na Uholanzi, na kuhudhuria mkutano wa kilele wa 12 kati ya Asia na Ulaya ASEM mjini Brussels, na pia atafanya ziara ya kikazi nchini Ubelgiji kuanzia Oktoba 11 hadi 19.

    Wizara ya mambo ya nje ya China imesema ziara ya Bw. Li Keqiang itakuwa na umuhimu mkubwa katika kuimarisha ushirikiano kati ya nchi wanachama wa SCO, ushirikiano kati ya Asia na Ulaya, na mahusiano kati ya China na Tajikistan, Uholanzi na Ubelgiji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako