• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema bunge limepitisha muswada wa kuzuia jaribio la Marekani la kuongeza vikwazo

    (GMT+08:00) 2018-10-10 10:07:11

    Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema inaunga mkono uamuzi wa bunge la nchi hiyo kupitisha muswada wa sheria kuhusu mkataba wa umoja wa mataifa wa kuzuia vyanzo vya fedha kwa ugaidi (CFT).

    Kitendo hicho cha bunge la Iran kimezuia jaribio la Marekani kuongeza shinikizo la vikwazo dhidi ya Iran. Spika wa bunge ya Iran Bw. Ali Larjiani amesema, mfumo wa upande mmoja wa Marekani ni chanzo cha kukosekana kwa usalama duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako