• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Riadha, Kenya yathibitisha kuwa tayari kwa mashindano ya vijana ya IAAF

  (GMT+08:00) 2018-10-10 10:44:46

  Shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF linatarajiwa kufanya ukaguzi wa viwanja na maeneo yatakayotumika kwenye michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 mwaka 2020 ambayo itafanyika mjini Nairobi nchini Kenya.

  Katibu mkuu wa wizara ya michezo ya Kenya Kirimi Kaberia amesema ukaguzi huo utafanyika kabla ya kumalizika kwa mwaka huu.

  Ujumbe wa IAAF ulikutana na maafisa wa michezo nchini Kenya na kuhimiza kuwa maandalizi yanapaswa kukamilika miezi sita kabla ya mashindano kuanza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako