• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Gofu, Uganda: Msimu wa mashindano ya UBL wafunguliwa

  (GMT+08:00) 2018-10-10 10:45:29

  Msimu wa mashindano ya mchezo wa gofu makubwa ya kitaifa nchini Uganda unaodhaminiwa na kampuni ya UBL umefunguliwa umefunguliwa jana mjini Kampala ambapo wachezaji watashindana kwa wiki 17.

  Mashindano hayo yatakuwa na raundi 7, ambapo raundi ya kwanza Oktoba 12 na raundi ya mwisho ambayo ni fainali Februari 23 mwaka 2019 zitafanyika katika uwanja wa gofu wa taifa mjini Kampala.

  Aidha, raundi ya pili itakuwa Novemba 10 mjini Fort Portal, ya tatu Novemba 24 mjini Mbarara, ya nne Disemba 8 mjini Jinja, ya tano Januari 26 mwaka 2019 mjini Entebbe na raundi ya sita Februari 2 mjini Kigo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako