• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tennis, Mashindano ya China Open yamsadia mchezaji wa Uingereza kupanda viwango

  (GMT+08:00) 2018-10-10 10:46:30

  Mchezaji wa tennis Kyle Edmund wa Uingereza amefanikiwa kupanda kwa viwango vya ubora baada ya kushinda ubingwa wa michuano ya China Open yaliyomalizika mwanzoni mwa mwezi huu mjini Shanghai.

  Kyle sasa anashika nafasi ya 14 kwenye viwango hivyo vilivyotolewa jana na ITF, pia anakuwa ndiye namba moja kwa ubora nchini Uingereza.

  Mwanzoni mwa mwaka huu Kylie alikuwa kwenye nafasi ya 50 katika msimamo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako