• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Masumbwi, mchakato wa pambano la waingereza Amir Khan na Kell Brook

  (GMT+08:00) 2018-10-10 10:48:21

  Bondia wa uzani mwepesi Amir Khan amesema hakuna jambo litakalozuia kufanyika kwa pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki atakalopigana dhidi ya mwingereza mwenzake Kell Brook.

  Pambano la wawili hao limekuwa na mlolongo mrefu kutokana na baadhi ya vipengele kutotimizwa ikiwemo uwiano wa uzito baina ya mabondia, lakini pia ratiba ikiwa inaingiliwa na ratiba nyingine za mabondia hao.

  Licha ya promota Eddie Hearn kupendekeza pambano hilo kufanyika mwezi Disemba bado Khan alionekana kutokuwa tayari akitaka Zaidi lifanyike mwanzoni mwa mwaka 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako