• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi ataka juhudi zifanywe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na maafa na kujenga reli ya Sichuan-Tibet

  (GMT+08:00) 2018-10-11 08:46:18

  Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kufanyika juhudi za kuongeza uwezo wa kulinda usalama katika kukabiliana na maafa ya kimaumbile, na kuzindua rasmi mipango na ujenzi wa reli inayounganisha mikoa ya Sichuan na Tibet. Amesema uwezo huo unahusu uchumi na maisha ya watu, na China itazindua mfumo wenye ufanisi na wa kisayansi na kuongeza uwezo wa jamii nzima katika kulinda maisha na mali za watu na usalama wa taifa. Pia amesisitiza kuwa reli ya kutoka Sichuan hadi Tibet ina umuhimu mkubwa kwa ajili ya utulivu wa muda mrefu wa nchi na maendeleo ya Tibet.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako