• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China imetoa transforma za umeme kwa Syria ili kuunga mkono ukarabati mpya

    (GMT+08:00) 2018-10-11 08:46:39

    China imetoa jumla ya transforma na kebo 800 za umeme kwa serikali ya Syria, ili kusaidia juhudi za nchi hiyo kuifanyia ukarabati miundombinu iliyoharibiwa. Ofisa wa ubalozi wa China nchini Syria Ma Xuliang amesema misaada hiyo itasaidia watu wa Syria kuboresha maisha yao, miundombinu na huduma za umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako