• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Zawadi ya bingwa wa ligi kuu Zenji yatua ZFA

  (GMT+08:00) 2018-10-11 08:59:53
  Chama cha soka Zanzibar (ZFA) kimepokea zawadi za mabingwa wa ligi kuu soka ya Zanzibar msimu wa mwaka 2017/18.

  Zawadi ambazo zinatarajiwa kutolewa rasmi Oktoba 18 mwaka huu kwenye mchezo wa ngao ya jamii utakaochezwa kati ya bingwa wa ligi hiyo JKU dhidi ya bingwa wa kombe la FA ambae bado hajapatikana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako