• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: "Maelezo ya tuhuma za ubakaji ni za kutunga" Mwanasheria wa Ronaldo

  (GMT+08:00) 2018-10-11 09:00:49
  Mwanasheria wa mwanasoka anayekipiga katika klabu ya Juventus ya Italia Christiano Ronaldo amesema vielelezo vya tuhuma ya ubakaji vilivyowasilishwa ni vya kutunga.

  Ronaldo amekana tuhuma hiyo inayomkabili ya kumbaka mwanadada Kathryn Mayorga kwenye hoteli moja jijini Las Vegas Marekani mwaka 2009.

  Katika taarifa yake, mwanasheria huyo Peter Christiansen ameeleza msimamo wa mteja wake unaendelea kuwa vilevile na Ronaldo kukubali mkataba haina maana ya kuwa amekiri kuwa na hatia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako