• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Matokeo ya michezo ya FA Cup

  (GMT+08:00) 2018-10-11 09:01:09
  Jumla ya michezo mitatu ya FA Cup imepigwa usiku wa jana na matokeo ni kuwa, Chippenham Town imeibuka na ushindi mnono wa goli 4-1 dhidi ya Hendon, nayo Kidsgrove Athletic imeifunga Workington kwa 2-1, na mchezo mwingine ulikuwa ni Taunton Town imeishushia mvua ya magoli 5-2 St. Albans.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako