• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO yatoa wito hatua kuchukuliwa kukabiliana na matatizo ya kiakili kwa vijana wa Afrika

    (GMT+08:00) 2018-10-11 09:11:19

    Mkurugenzi wa kikanda wa Shirika la Afya Duniani WHO barani Afrika, Matshidiso Moeti, amesema serikali za nchi za Afrika na washirika wao zinapaswa kutoa kipaumbele katika kuchukua hatua kukabiliana na tatizo la magonjwa ya akili linalizidi kuongezeka kwa vijana wa Afrika.

    Bw. Moeti amesema ni rahisi kwa vijana wa Afrika kukumbwa na matatizo ya kiakili, kama hatua zenye ufanisi zaidi hazitachukuliwa.

    Bw. Moeti amesema asilimia 5 ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 15, wanakumbwa na matatizo ya kiakili, ambapo msongo wa mawazo unaotokana na masomo, unyanyasi wa kihisia katika familia na umaskini, ni sababu kuu za tatizo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako