• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Simu za mkononi zinazotengenezwa China zapata umaarufu vijijini nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-10-11 19:36:02

    Simu za mkononi zinazotengenezwa nchini China zimepata umaarufu sana katika maeneo ya vijijini nchini Kenya kutokana na gharama nafuu na uwezo wao.

    Chapa za China kama vile Fero, X-tigi na Xgm hazijulikana sana katika miji mikubwa kama Nairobi, lakini simu hizo za gharama nafuu zinatumika sana katika maeneo ya vijijini, ambapo wakazi wa maeneo hayo wanaweza kumudu kununua simu zinazouzwa kuanzia dola 8 hadi 25 za kimarekani.

    Vitu kama radio, tochi, kamera na mtandao wa internet vinazifanya simu hizo kuwa maarufu sana vijijini kwa sababu zinawasaidia wakazi wa huko kufurahia uzoefu kama wa wale walioko mijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako