• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda:Kagame azuru Armenia kwa fursa za biashara

  (GMT+08:00) 2018-10-11 19:44:10

  Rais Paul Kagame wa Rwanda yuko nchini Armenia kuhudhuria awamu ya 17 ya kongamano la nchi 84 zinazotumia lugha ya kifaransa.

  Kongamano la mwaka huu linalenga kumchangua katibu mkuu mpya, pamoja na kujadili masuala tofauti ya uongozi na maendeleo.

  Shirika hilo la nchi za lugha ya kifaransa litabuni mbinu za kisasa za demokrasia,elimu utafiti wa kisayansi na uchumi.

  Zaidi ya nchi 84 zimehudhuria huku Rwanda ikitaka kulitumia kupata wadhfa muhimu wa ukatibu mkuu kupitia kwa Louise Mushikiwabo wa Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako