• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yapitisha kuanzishwa kwa baraza la usimamizi wa barabara Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-10-12 08:30:02

    Baraza la mawaziri la Kenya limepitisha uamuzi wa kuanzishwa kwa Baraza la Mamlaka za Barabara za Kikanda EARRAF, ikiwa ni juhudi za kuratibu miundombinu ya barabara katika Afrika Mashariki, haswa katika barabara zinazovuka mipaka ya nchi katika ubunifu, vigezo na gharama. Ikulu ya Kenya imesema EARRAF itaratibu kazi za mashirika mbalimbali katika kutekeleza na kusimamia miundombinu ya barabara katika kanda hiyo, na bodi za usimamizi wa barabara za Kenya, Uganda na Tanzania zitahusishwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako