• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UM ahuzunishwa na vifo vinavyotokana na mafuriko ya Nigeria

    (GMT+08:00) 2018-10-12 08:30:38

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ameeleza kuhuzunishwa na ripoti ya vifo vya watu 200 kutokana na mafuriko nchini Nigeria. Katibu mkuu huyo ametoa salamu za pole kwa familia za wahanga, serikali na wananchi wa Nigeria, na kuwatakia majeruhi wapone haraka. Amesema Umoja wa Mataifa uko pamoja na Nigeria katika wakati huu mgumu na kuwa tayari kutoa msaada unaohitajika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako