• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China atoa wito wa kushikilia ushirikiano wa pande nyingi

    (GMT+08:00) 2018-10-12 08:31:26

    Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Silaha ya Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Fu Cong ametoa wito kwa nchi kushikilia ushirikiano wa pande nyingi na kufuata kanuni za kimataifa kwa ajili ya usalama wa dunia. Akizungumza kwenye mkutano wa Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw. Fu amesema ushirikiano wa pande nyingi bado ni njia yenye ufanisi katika kukabiliana na changamoto za kawaida na kutatua migogoro ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako