• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kamati ya waamuzi Zanzibar waandaa kozi ya utimamu wa mwili

  (GMT+08:00) 2018-10-12 08:34:47
  Jumla ya waamuzi 40 wanatarajia kushiriki kwenye kozi ya utimamu wa mwili (COPA TEST) inayotarajia kufanyika leo kwa ajili ya mandalizi ya Ligi kuu ya Zanzibar na ligi nyengine zinazondaliwa na ZFA Taifa.

  Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Zanzibar Muhsin Ali Kamara amesema mafunzo hayo yataanza kwa vipimo vya afya kwa waamuzi wote, aidha mafunzo hayo yataendana na semina maalum kwa ajili ya mabadiliko ya sheria za soka.

  Kozi hiyo itafanyika uwanja wa Amani na itashirikisha waamuzi toka Unguja na Pemba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako