• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matokeo ya ligi ya mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League)

  (GMT+08:00) 2018-10-12 08:35:19
  Jumla ya michezo 7 ya ligi ya mataifa ya ulaya imepigwa usiku wa jana katika viwanja tofauti barani ulaya. Ureno imeifunga Poland goli 3-2, Sweden zimetoshana nguvu sawa na Urusi kwa kutokufungana, huku Israel ikichomoka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Scotland, nayo Lithuania ikikubali kipigo cha 2-1 toka kwa Romania, Serbia yenyewe imeifunga Montenegro 2-0, nayo Kosovo imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Malta, huku Azerbaijan imeimiminia mvua ya magoli kisiwa cha Faroe magoli 3-0
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako