• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wa Uganda watuma vikosi vya uokoaji kwenye eneo lililokumbwa na maporomoko ya ardhi

    (GMT+08:00) 2018-10-12 10:17:39

    Polisi wa Uganda wametuma vikosi vya uokoaji kwenye wilaya ya Bududa, mashariki mwa nchi hiyo, ambako makumi ya watu wamefariki dunia kutokana na maporomoko ya ardhi.

    Msemaji wa polisi ya wilaya ya Elgon, Bw. Sowed Mansur amesema, kikosi cha kwanza cha uokoaji kimepata miili 17. Lakini kazi ya uokoaji ilisimama wakati wa usiku kutokana na giza. Bw. Mansur ameahidi kuwa leo kikosi hicho kitaendelea na kazi ya uokoaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako