Tume hiyo imesema utata wa hali ya usalama nchini humo na vitendo vya vikundi vyenye silaha katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo, vimekuwa changamoto kubwa kwa uchaguzi huo. DRC si kama inapaswa kulinda usalama wa wagombea, bali pia inatakiwa kuhakikisha kunakuwa na mazingira mazuri ya kupiga kura.
Tume hiyo imeshauri DRC kuanzisha utaratibu wa usalama wa uchaguzi, na uratibu wa kimkakati wa vikosi mbalimbali vya kulinda usalama, ili kukabiliana na changamoto hizo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |