• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vifo kutokana na mashambulizi ya kujitoa mhanga vyaongezeka na kufikia 10

    (GMT+08:00) 2018-10-14 16:08:11

    Waziri wa mawasiliano kutoka jimbo la kusini magharibi la Somali Bw. Ugas Hassan Abdi ameliambia shirika la habari Xinhua kwamba vifo kutokana na mashambulizi mawili ya mabomu yaliyotekelezwa katika mgahawa mmoja na hoteli moja kwenye mji wa Baidoa vimeongezeka na kufikia 10, huku Zaidi ya watu 20 wakijeruhiwa.

    Wahanga wa mashambulizi hayo ni raia, wengi wakiwa ni vijana ambao wakati mtu mmoja aliyejitoa mhanga na kujilipua katika mgahawa huo, na baada ya dakika chache tukio kama hilo likatokea katika hotel ya Bilan katikati ya mji wa Baidoa.

    Tayari kundi la kugaidi la Al-Shabab limejitangaza kuhusika na matukio hayo, pia likisema wapiganaji wake wamewaua watu Zaidi ya 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako