• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kitabu cha kuhimiza kuunda mustakabali wa hatma ya pamoja ya binadamu cha rais Xi Jinping chachapishwa

    (GMT+08:00) 2018-10-14 16:26:47

    Kitabu cha kuhimiza kuunda mustakabali wa hatma ya pamoja ya binadamu cha rais Xi Jinping kilichohaririwa na taasisi ya historia na fasisi ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China kilichapishwa na shirika la uchapishaji wa fasisi la kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China na kitatolewa nchini kote kuanzia tarehe 14.

    Kitabu hicho kilitokana na hotuba ya rais Xi Jiping alipoendesha mafunzo ya awamu ya 3 ya idara ya kisiasa ya kamati kuu ya 18 ya chama cha CPC tarehe 28 mwezi Januari mwaka 2013 kuhusu kupanga vizuri zaidi mambo ya ndani na mambo ya kimataifa na kuimarisha msingi wa njia ya amani na maendeleo, na kilimalizika kwa hotuba ya rais Xi Jinping aliyotoa kwenye mkutano wa kazi za diplomasia wa kamati kuu ya chama cha CPC tarehe 22 mwezi Juni mwaka 2018 kuhusu kushikilia uongozi wa mawazo ya diplomasia ya ujamaa wenye umaalum wa kisasa wa China, na kuvumbua hali mpya ya kidiplomasia yenye umaalum wa China, kina na nyaraka 85 za rais Xi Jinping kuhusu kuhimiza kuunda mustakabali ya pamoja ya binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako