• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yakanusha athari zinazoweza kuletwa na vikwazo vya Marekani kwa uchumi wake

    (GMT+08:00) 2018-10-15 10:00:13

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi havina athari kwa uchumi na maisha ya watu. Amesema adui huyo amefanya vita ya kisaikolojia na amefanya yote anayoweza kufanya. Amesisitiza kuwa mashinikizo yanayotolewa na serikali ya Marekani yanalenga kubadilisha utawala nchini Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako