• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama mshirika wa Merkel huko Bavaria chapata hasara kubwa katika uchaguzi

    (GMT+08:00) 2018-10-15 10:02:39

    Chama mshirika wa Chansela wa Ujerumani Angela Merkel, CSU chenye makao makuu huko Bavaria kimepata hasara kubwa katika uchaguzi wa jimbo jana. CSU na chama kinachoongozwa na Bib Merkel CDU ni vyama washirika vinavyounda muungano. Matokeo hayo yameonyesha kuwa muungano huo ulipata uungaji mkono mdogo zaidi katika historia. Mwezi Julai Mwenyekiti wa CSU Bw. Horst Seehofer alizozana na Bibi Merkel kuhusu masuala ya uhamiaji na kutishia kujiuluzu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako