• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Namibia yaendelea kusafisha maji ili kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu

    (GMT+08:00) 2018-10-15 18:54:42

    Mtazamo wa Namibia wa kusafisha maji katika manispaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Windhoek umepata mafanikio makubwa katika kusimamia maji taka kupitia kusafisha maji hayo kuwa maji safi.

    Mwaka 1968, mji wa Windhoek ambao mara kwa mara unakabiliwa na upungufu wa maji na changamoto kubwa ya ugawaji, ulichukua hatua kubwa ya uvumbuzi na kutambulia mfumo wa kusafisha maji taka kuwa maji safi ya kunywa.

    Hivi sasa, mji huo unachukuliwa kama moja ya viongozi wa mfumo wa kusafisha maji taka na kudumu kuwa sehemu pekee duniani ambako mfumo huo unafanyika kwa kiwango kikubwa na unaendelea kuwa msingi wa kuwapatia wakazi wa mjini maji safi ya kunywa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako