• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya and Uganda zinaangalia hatari ya madeni  IMF  ya onya

    (GMT+08:00) 2018-10-15 19:22:56
    Kenya na Uganda ni miongoni mwa nchi ambazo zina hatari ya madeni, Shirika la Fedha la Kimataifa limeonya.

    Ripoti ya Shirika la Fedha la Kimataifa IMF imesema uchumi wa kanda hizo mbili unahitaji kuimarisha uwezo wao wa kufanya uchambuzi wa hatari ya kukopa na kusimamia malipo kwa mikopo ya kibiashara.

    Hata hivyo, IMF imepongeza Kenya na Tanzania kwa mkakati wake wa kutoa taarifa juu, ya madeni yake ya muda mfupi ili kukabiliana na hatari kubwa za dhima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako