• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania ya lenga mikoa mitano kukuza uzalishaji wa chai na mauuzo

    (GMT+08:00) 2018-10-15 19:23:16

    Bodi ya Chai ya Tanzania (TBT) inalenga kuongeza uzalishaji wa chai kwa kupatia wakulima bei bora zaidi hasa wakulima wadogo wadogo kupitia masoko bora ya bidhaa ili kuweza kusaidia wakulima kuingia masoko ya ndani na nje.

    TBT inalenga mikoa mitano Iringa, Njombe, Mbeya, Tanga na Kagera.

    Wizara ya Kilimo inatarajia kuongeza ardhi ya sasa ya kilimo kutoka hekta 22,721 hadi hekta 25,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako