• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afripol na Interpol kusaini makubaliano ya ushirikiano mwezi Januari

    (GMT+08:00) 2018-10-16 09:36:47

    Kamishna wa amani na usalama wa Umoja wa Afrika Bw. Smail Chegui amesema makubaliano ya ushirikiano kati ya Utaratibu wa Ushirikiano wa Polisi wa Afrika Afripol na Shirika la Kimataifa la Polisi Interpol yanatarajiwa kusainiwa mwezi Januari mwakani ili kuimarisha ushirika na uratibu katika kupambana na changamoto za kiusalama kama vile ugaidi na uhalifu wa kupangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako