• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Uchumi wa Kenya kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2018-10-16 19:25:55
    Uchumi wa Kenya unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka ujao ukisaidiwa na fedha zinazotumwa na wakenya waishio nje ya nchi, kuimarika kwa sekta ya kilimo na kupungua kwa bei ya vyakula.

    Benki ya dunia kwenye ripoti yake imesema ukuaji wa uchumi pia utaongezeka hadi asilimia 6 mwaka 2020.

    Hata hivyo benki hiyo imesema sekta ya utengenezaji bidhaa imeendelea kukua polepole kutoka asilimia 0.5 mwaka 2017 hadi asilimia 2.7 mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako