• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wakulima Busoga wageukia kilimo cha maharage ya soya

    (GMT+08:00) 2018-10-16 19:26:57
    Wakulima katika eneo la Busoga mashariki mwa Uganda wameanza kilimo cha maharage ya soya na kuacha kile cha mahindi kufuatia kudorora kwa bei ya mahindi.

    Wakulima hao wanasema katika mazingira ya kawaida ekari moja inazalisha kati ya magunia 7-8 ya maharage ya soya huku bei ya gunia moja ikiwa ni dola 66 baada ya miezi 3.

    Mwaka wa 2015, wakulima 10 walijiunga kwenye kundi moja na kuanza kilimo hicho na sasa wameongezeka hadi wakulima 62.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako