• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yasema hakuna mlipuko wa ugonjwa wa Ebola

    (GMT+08:00) 2018-10-17 09:13:15

    Wizara ya Afya ya Uganda imesema hakuna mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo baada ya sampuli za damu za mwanamke mmoja wa Kongo aliyeingia katika nchi hiyo kupimwa kuwa hazina virusi. Wizara hiyo imesema katika miezi miwili iliyopita, sampuli 220 za damu za watu walioshukiwa kuamkukizwa, zilipimwa na zote hazina virusi vya Ebola na Marburg.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako