• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 7 wafariki na 125 kujeruhiwa baada ya treni kuacha njia Morocco

    (GMT+08:00) 2018-10-17 09:14:29

    Abiria saba wamefariki dunia na wengine 125 wamejeruhiwa baada ya treni waliyokuwa wakisafiria kuacha njia kaskazini mwa Morocco. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana, na uchunguzi tayari umeanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako