• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 19 wauawa na wengine 40 wamejeruhiwa katika shambulizi dhidi ya chuo cha Crimea

    (GMT+08:00) 2018-10-18 08:32:44

    Watu zaidi ya 19, wengi wakiwa ni vijana wameuawa na wengine 40 kujeruhiwa katika shambulizi lililotokea katika chuo cha ufundi stadi mjini Kerch, Crimea. Kwa mujibu wa ripoti, vifaa vya milipuko visivyojuliakana vililipuka katika mgahawa wa chuo kikuu na mlipuko huo uliambatana na ufyatuaji risasi. Ofisi ya Idara ya Uendeshaji Mashtaka ya Ukraine huko Crimea na Kamati ya Uchunguzi ya Russia, kila upande umeanza uchunguzi dhidi ya tukio hilo chini ya tuhuma za vitendo vya kigaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako