Mkurugenzi mkuu wa FAO Bw. Jose Graziano da Silva amesema, China imetumia biashara ya kiilektroniki katika kupungaza umaskini, na uzoefu wa China katika maendeleo na uvumbuzi kwenye sekta ya kilimo ni mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine. Pia amesema China imeanzisha ushirikiano wa pande mbili na pande mbalimbali kusaidia nchi zinazoendelea.
Bw. Silva pia amezisifu Brazil na Peru katika kupunguza uhaba wa chakula kwa kasi ndani ya muda mfupi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |