• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Bei ya nyumba katika mitaa ya kifahari Nairobi yapungua

    (GMT+08:00) 2018-10-18 20:24:53

    Ni kweli kwamba sasa unaweza kununua nyumba kwa bei rahisi katika mitaa ya kifahari jijini Nairobi.

    Hii ni kufuatia kushuka kwa bei ya nyumba hizo na hata za upangaji katika mitaa ya Kilimani,Lavington na Kileleshwa katika mda wa mwaka mmoja sasa.

    Sakina Hassanali kiongozi wa shirika maendeleo na ushauri wa ujenzi ametaja unafuu huo kusababishwa na ukuwaji wa maeneo hayo na kuongezeka kwa shughuli kama za ofisi za kazi na hata sehemu za kuishi.

    Mwaka huu 2018,bei ya nyumba Kilimani imeshuka kwa asilimia 5.2 ,Lavington ikipungua kwa asilimia 3.0 nao mtaa wa kibabe wa Kileleshwa imepungua kwa asilimia 0.6.

    Sehemu hizi zimekuwa kivutio kikuu kwa matajiri na watu waliojariwa na kampuni zinazotajika kutokana na ufahari.

    Tangazo hili linatarajia kuvutia zaidi wateja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako