• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wawaondoa wakimbizi wanyonge kutoka Libya hadi Niger

    (GMT+08:00) 2018-10-19 08:41:38

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema limewaondoa wakimbizi wanyonge 135 na watu wanaotafuta hifadhi kutoka Libya hadi Niger, kutokana na kuongezeka kwa hali mbaya ya kiusalama mjini Tripoli. Kwa mujibu wa taarifa, wengi wa wakimbizi hao walikuwa wanashikiliwa kwa miezi kadhaa na kusumbuliwa na utapiamlo na matatizo ya kiafya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako