• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya mpira wa wavu ya ufukweni kuanza Novemba 3

  (GMT+08:00) 2018-10-19 09:26:55

  Michuano ya taifa ya mpira wa wavu ya ufukweni yanatarajia kuanza Novemba 3 hadi 4 katika ufukwe wa ziwa Kivujimbo la Rubavu nchini Rwanda.

  Kwa mujibu wa katibu mkuu wa shirikisho la mpira wa wavu la Rwanda (FERWAHAND) Jean Paul Ngarambe amesema timu zinatakiwa kujisajili hadi Oktoba 28 kwa ajili ya mashindano hayo.

  Mashindano hayo yamepagwa katika makundi matatu, kundi la kwanza ni la vijana, la pili ni watu wazima na la tatu ni wakongwe.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako