Pato la taifa la China GDP liliongezeka kwa asilimia 6.7 katika robo tatu za mwanzo za mwaka 2018 na kufikia dola za kimarekani trilioni 9.38.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Idara ya Takwimu ya Taifa NBS, katika robo ya tatu ya mwaka huu, pato la taifa la China liliongezeka kwa asilimia 6.5, chini ya asilimia 6.7 ya robo ya pili, na asilimia 6.8 ya robo ya kwanza ya mwaka huu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |