• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aelekeza kazi za makatibu wakuu wa kamati za chama

    (GMT+08:00) 2018-10-20 16:20:41

    Rais Xi Jinping wa China, ambaye ni katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China CPC, ametoa wito kwa ofisi zote za kamati za chama kwa ngazi zote kulinda kithabiti mamlaka ya kamati kuu ya chama pamoja na kuheshimu nguvu na mfumo wake wa uongozi.

    Rais Xi, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamisheni ya kamati kuu ya kijeshi, alitoa ushauri huo kwenye mkutano wa kitaifa wa makatibu wa kamati za chama uliofanyika ijumaa na jumamosi mjini Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako