• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi apongeza mafanikio ya safari ya kwanza ndege ya AG600

    (GMT+08:00) 2018-10-20 16:21:09

    Rais Xi Jinping ametuma ujumbe wa pongezi kutokana na mafanikio ya safari ya ndege inayoweza kuruka na kutua kwenye maji iitwayo AG600, ambayo ni ndege ya ubunifu mkubwa wa pekee wa China.

    Akisema ufanisi wa AG600 ni alama nyingine ya mafanikio muhimu kupitia ubunifu wa sekta ya usafiri wa anga ya China.

    Ndege hiyo ilifanya ilifanya safari yake leo asubuhi katika mji wa Jingmen ulioko kwenye wa Hubei katikati ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako