• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yakanusha shutuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-10-22 08:29:40

    Wizara ya mambo ya nje ya Iran imekanusha shutuma za kuingilia kati uchaguzi wa kipindi cha kati wa Marekani. Msemaji wa wizara hiyo Bw. Bahram Qasemi amesema sera ya Iran ni kutoingilia kati mambo ya ndani ya nchi nyingine, na kuzitaja shutuma hizo kuwa hazina msingi wowote. Ijumaa iliyopita mashirika ya ujasusi na sheria ya Marekani yalitangaza kuwa serikali za nchi za nje, ikiwemo Iran, zinajaribu kuingilia kati uchaguzi wa kipindi cha kati utakaofanyika mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako