• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Rwanda: AS Kigali FC yasaini mwaka mmoja na kocha Masoud Djuma wa Burundi

    (GMT+08:00) 2018-10-22 08:44:43

    Kocha Masoud Juma Irambona wa Burundi amesaini rasmi mkataba wa mwaka mmoja wa kuifundisha klabu ya AS Kigali inyaoshiriki ligi kuu nchini Rwanda.

    Tangazo la nafasi hiyo ya kazi lilitolewa wiki moja iliyopita baada ya AS Kigali kuachana na kocha wake wa zamani.

    Kuajiriwa kwa Masoud kunafuta tetesi kuwa timu hiyo ilikuwa mbioni kumwajiri kocha wake wa zamani Andre Mbungo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako