• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Kocha wa Chelsea awataka mashabiki kumheshimu kocha wa Manchester United

    (GMT+08:00) 2018-10-22 08:45:55

    Kocha mkuu wa Chelsea Maurizio Sarri ametoa wito kwa mashabiki wa timu hiyo kumheshimu kocha Manchester United Jose Mourinho kutokana na mafanikio makubwa aliyopeleka wakati akiifundisha Chelsea.

    Sarri alitoa kauli hiyo kufuatia kejeli na zomea zomea za mashabiki wa Chelsea dhidi Mourinho kwenye mechi kati ya Chelsea na Manchester United iliyofanyika kwenye uwanja wa Chelsea.

    Kutokana na sakata hilo, Sarri pia alimuomba radhi kocha mourinho kutokana na kadhia hiyo iliyotokea wakati kabla na baada ya mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya 2-2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako