• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia kujibu hatua ya Marekani kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia

    (GMT+08:00) 2018-10-22 09:53:02

    Mbunge wa Russia jana alisema kuwa Russia itajibu hatua halisi za Marekani baada ya kujiondoa kwenye Mkataba wake na Russia wa Silaha za Masafa ya Kati za Nyuklia..

    Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya baraza la juu la bunge la Russia Bw. Konstantin Kosachev alisema kuwa Russia inayotakiwa kujibu sio kujiondoa kwa Marekani kwenye mkataba huo, bali ni hatua zake halisi ambapo iko huru kufanya vyovyote itakavyo.

    Aliongeza kuwa rais Vladmir Putin wa Russia amesema Russia ina uwezo wote wa kiufundi wa kijeshi kwaajili ya hilo na itajibu kwa haraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako