• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • PLO yailaani Israel kwa kuwakamata maofisa wawili wa Palestina

    (GMT+08:00) 2018-10-22 09:53:24

    Katibu mkuu wa kamati ya utendaji ya Chama cha ukombozi wa Palestina PLO Bw. Swaib Uraiqat jana aliilaani Israel kwa kuwakamata maofisa wawili wa Palestina na kuitaka nchi hiyo kuwaachia huru mara moja.

    Kwenye taarifa yake Bw. Uraiqat alisema kuwa Israel kuwateka nyara meya wa mji wa Jerusalem Mashariki na mkuu wa idara ya ujasusi ya Jerusalem Mashariki ni hatua mpya ya kupinga uwepo wa Palestina katika Jerusalem Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako