• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano Mkuu wa FIFA: Wajumbe waanza kuwasili Rwanda

  (GMT+08:00) 2018-10-23 10:02:20

  Wajumbe wa mkutano mkuu wa FIFA utakaofanyika nchini Rwanda Oktoba 25 na 26 nchini Rwanda wameanza kuwasili mjini Kigali jana jumatatu.

  Mkutano huo ambao utaongozwa na Rais wa FIFA Gianni Infantino unatarajiwa kujadili mipango ya siku sijazo kuhusu soka pamoja maendeleo ya soka kwa ujumla.

  Kwa mujibu wa msemaji wa Shirikisho la soka la Rwanda, Zaidi ya ujumbe wa watu 100 unatarajiwa kushiriki wakiwemo wajumbe 37 wa baraza la FIFA, Rais wa FIFA na ujumbe wake wa watu 8, pamoja na wajumbe wa 28 wa mkutano mkuu wa FIFA.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako